歌词
Diamond Platnumz 、Fally Ipupa -Inama
Lyrics by:Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa
Composed by:Nasibu Abdul Juma Issaack/Fally Ipupa
Ayolizer
Diamond Platnumz:
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote
Dangote
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Diamond Platnumz:
Asa inama
Ebu pinda mgongo
Ooh ngo ngo ngo
Oya inama
Inama beiby
Basi pinda mgongo
Ngo ngo ngo ngo ngo
Asa inama
Inama beiby
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo
Fally Ipupa:
Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux ba je t'aime tout le temps
Mawéeleka wapi bébéna nga aza présente
Soucis eleka wapi chérie na ngai azali ehhh
Tango nyonso e'belaka nga Je t'aime
Baloba basilika oh
Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh
Baloba basilika oh
Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh
Chérie aza kitoko
Chérie aza elengi trop
Chérie aza kitoko
Chérie aza elengi trop
Parfois l'amour est compliquémais chérie àmoi est toujours romantique
Diamond Platnumz/Fally Ipupa:
Asa inama
Oh oh oh
Ebu pinda mgongo
Nakupenda mtoto
Oya inama
Bana inama
Basi pinda mgongo
Bébéna ngai eh
Asa inama
Na lela oh ohohoh
Ebu pinda mgongo
Ooh mgongo
Oya inama basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah nyonga na kupinda mgongo
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare
Analilili
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare
Yuko bwi
Analishare lishare
Silali
Analishare lishare
Oooh
Analishare lishare
Yeah Samuel Eto'o
Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa Tokooosss
Toza likolo Bakokoka Té
Kokate
专辑信息
1.Inama