歌词
Mama wewe, watoto wameruka mbali na ndege;
usijali njoo tuma barua kesho.
Usiwe na wasiwasi mama.
Mama wewe, watoto wameruka mbali na ndege;
usijali njoo tuma barua kesho.
Usiwe na wasiwasi mama.
Aaa sio yule bwana mmhh
ndiyo yule aliyetokea Amerikani yule.
Sasa mama wewe watoto wameruka mbali na ndege;
usijali njoo tuma barua kesho usiwe na wasiwasi mama
专辑信息