歌词
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, ningekuoa
Malaika
Nashindwa na mali sina we, ningekuoa
Malaika
Pesa, zasumbua roho yangu
Pesa, zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
专辑信息
1.Day-O (Banana Boat Song)
2.My Angel (Malaika)
3.Sunflower
4.Scarborough Fair (Canticle)
5.Jamaica Farewell
6.There's a Boat That's Leavin' Soon for New York
7.Land of the Sea and Sun
8.Island In The Sun (From "Island In The Sun")
9.Gloria
10.Sweetheart From Venezuela
11.Kingston Market