Raha

歌词
Mmmh
Lalala mmh
Lalala (Ayo Laizer) mmh
Lalala mmh (Nusder)
Yaani kwa sauti, kasema deka deka
Na mimi najiachia
Kanipa shuruti la kumteka, teka
Silaha kanigawia
Mbezi kimara, hunipeleka peleka
Mpaka mwisho hashuki, hashuki
Kiungo imara hunipenyeka penyeka
Kwa ya nguvu mashuti, mashuti
Aaahhh
Kaniweka darasani
Kunifundisha vizuri
Mengi hayajulikani
Yataka kuyakariri
Kanichorea ramani
Kopa lenye nyingi siri
Nyekundu nje na ndani
Rangi yake zingifurii
Raha, kupendwa raha
(Mmhh kupendwa raha)
Raha, jamani raha (naona raha)
Raha, kupendwa raha
(Kupendwa raha)
Raha, jamani raha
Eti niende msituni, zaralinge na mate pwi nikamroge
Abadan, oooh abadan
Penzi lichanje mizaituni, kwaviringe na kuzikiri linoge
Oooh Abadan, oooh abadan
Mmmmh
Vineno vya kisirani
Kafumwa na mwafulani
Mweupe mara kijani
Linawahusu nini?
Vipimo viso mizani
Kutwa kwenu midomoni
Timewakaa vichwani
Mtumezee kwinini
Oooooh
Ndege ya asili ya buga
Kufugwa hawezekani
Mithili akivuruga
Akaumbiwa kutamani
Atenda tafuta boga
Japo tama libandani
Enda tenzi sina woga
Atarejea ngamani
Raha, kupendwa raha
(Kupendwa raha)
Raha, jamani raha (naona raha)
Raha, kupendwa raha
(Oooh kupendwa raha)
Raha, jamani raha
Ah ah
Waaasaaafiiii