歌词
Hey heeeey oh yeah(Habaa)
Ahh basi usikunje goti wala kuchechemea
Pandisha mashetani mi ndio bingwa wa kukemea
Usiombe nikila nyagi halafu nikavuta na mmea
Utaniita Mr Miagi kila style unapopea
Mi nipe sarakasi za kichina iokote nidate hadi niimbe mama Amina
Izime switchi iokote ni kwichi kwichi
Ipime izame ndichi nyoki ni mbichi mbichi
Iokote!
Tatizo mama ni nini? Sinywagi mchuzi wa pweza ila pweza ananinywa mimi
Iokote!
Taratibu ukiiona chini tena ipake na mafuta iwe softi ikiingia mwilini
Iokote!
Kasongo miksa mundende nikupeleke hadi Bukoba katerero ndembe ndembe
Iokote!
Wananiita Mandingo mzee baba kwenye ulingo navunja mpaka chaga
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come bae
Msumari kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday, I love you
Mmm ooh basi iokote
Sio kwa bedi kwa kochi kitanda naichumia Iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote
Sungura nipe karoti
Marage sijazoea iokote
Nakunja goti napandisha mori
Nachechemea
(Oooh yeah beiby, beiby)
Ukitoka kuoga nitengee, ya moto moto
Tingaa moka kitenge, tutoke mtoko
Aah, border kwa border tutembee, chocho kwa chocho
Tena nikichoka nibebe, mi kwako mtoto (Aiyee eh)
Ah fundi wa chemba hudambwi dambwi, aeee
Amri ya sita ni dhambi dhambi, nayee
Kileleni toa rambi rambi
Mmm mambo ni moto moto
Refa kakupa penalti ayeee
Mpira ushawekwa kati ayee
Nahitaji magoli kwa chenga zako piga shuti nikudakie
Haya maji wapi nimwage,
Kama amepigwa na shoti si amebandika marage, so njoo uimenye karoti
Naona mbuzi kagoma, sasa unaikanyaga noti
Na bado hujakoma chunga, utaloa ukiichezea Coke
Kasongo miksa mundende nikupeleke hadi Bukoba katerero ndembe ndembe
Wananiita Mandingo mzee baba kwenye ulingo navunja mpaka chaga
Mmm ooh basi iokote
Kwa bedi kwa kochi
Kitanda naitumia iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote
Sungura nipe karoti
Marage sijazoea iokote
Nakoza goti napandisha mori
Nachechemea
专辑信息
1.Iokote - Remix