歌词
Siwezii kulazimisha penzi lako, lakini nimeona machoniii.
Umeniona pia naomba uniaminii.
Nataka kuwa na wewe weweee.
Unafikiria nini pale unapokaa, naona bado upo ila kichwani umeshaondoka.
Wewe ni kama kitabu ambacho siwezi kusomaa.
Ningependaa kukujua, sogea karibu nami sasa nataka unione sasa nakuwaza.
Usahau wengine sasa tupo sisi tuuu.
Ooohhh
Wewe ni nani? kusikia mawazo yako natamani.
Wewe ni nani? naomba unielezee.
Haukuwa mjinga uliposema mi ndo chaguo lako.
Haukuwa zoba uliposema mi ndo chaguo lakoo.
Mi ni yuleyule, yuleyulee ulonichagua mwanzo, yuleyulee
Mi ni yuleyuleee eeenh enh
Haikuonekana thamani yangu kwa wenginee.
Usiniachee nitaliaa, mpenzi wangu wee.
Usiniache nitaliaa, mpenzi wangu wee.
Nilisharusha mawe, yakawakosa ndege wengine.
Limekupata wewe, wewewee.
Usiniache nitalia mpenzii wangu weee
Wewe ni nani? kusikia mawazo yako natamani.
Wewe ni nani? naomba unielezee.